MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mavii leo ndo mnasema hivyo si kuna msemaji wenu anaitwa sijui minara alisema simba ina kikosi kipana hata Barcelona mnajipigia [emoji3][emoji3][emoji3]Kawaida hayo mambo af hatuna shida sana na izo points za ugenini hao tunawasubr wote kwa mchina
Haki ya mungu aliyetuloga kesha kufa hivi unazani watu 10000 niwachache au!! Bandari walikuwa mia 200 lakini balaa Lake ulilionaKwataarifa tu hao wameruhusiwa washabiki 10000tu kwa mechi na simba
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa, Haya.Kawaida hayo mambo af hatuna shida sana na izo points za ugenini hao tunawasubr wote kwa mchina
Hata elf 3 tu wanatosha maana wale jamaa wanashangilia sana bila hata kuangalia mpira,siyo Taifa watu wanashangilia hadi hili au chenga na visiginoKwataarifa tu hao wameruhusiwa washabiki 10000tu kwa mechi na simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Haji alisema mechi za Dar point 9 jumla lazimaMavii leo
ndo mnasema hivyo si kuna msemaji wenu anaitwa sijui minara alisema simba ina kikosi kipana hata Barcelona
mnajipigia [emoji3][emoji3][emoji3]
Usihofu hata wakiiona hakuna shida. Wachezani wapo mazoezini na mashabiki pia wanafanya mazoezi ya kushangilia.kwa maslahi mapana ya Simba kocha na wachezaji wasione hii video. hawa ni mashabiki wa Al Ahly wakiwa kwenye uwanja wa mazoezi ila shangwee lake kama fainali ya kombe la dunia, hapo bado wahajachoma mafataki. Hii kitu chama na Bocco wakiiona lazima wakatae kucheza mechi yao.
Hivi unafikiri mashabiki 10000 ni wachache? Mwenyekiti mstaafu Rage alikuwa sahihi mnooKwataarifa tu hao wameruhusiwa washabiki 10000tu kwa mechi na simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Yanga mkiona wingi wa watu mnawaza kupeleka bakuli..... Pelekeni misriHivi unafikiri mashabiki 10000 ni wachache? Mwenyekiti mstaafu Rage alikuwa sahihi mnoo
kwani kuna sehemu mchangiaji kapinga swala la kikosi kipana,nilichomuelewa amesema hawa wote tunawasubiri taifa kitu ambacho hata manara ndicho alichosema ,hakuna sehemu manara kasema ana uhakika wa kushinda ugenini,so acha kukurupuka kama una uharo wa maharage yaliyochachaMavii leo ndo mnasema hivyo si kuna msemaji wenu anaitwa sijui minara alisema simba ina kikosi kipana hata Barcelona mnajipigia [emoji3][emoji3][emoji3]
Tunasubiri waje ndo tupeleke. Kwasasa wacha wawanyooshe andadogi kwanzaHuko Yanga mkiona wingi wa watu mnawaza kupeleka bakuli..... Pelekeni misri
Tunasubiri waje ndo tupeleke. Kwasasa wacha wawanyooshe andadogi kwanza
Vyura tulizeni mchecheto point za nje hatuna shida nazo tena sisiMavii leo ndo mnasema hivyo si kuna msemaji wenu anaitwa sijui minara alisema simba ina kikosi kipana hata Barcelona mnajipigia [emoji3][emoji3][emoji3]