Chonde chonde wachezaji na kocha wa Simba wasioneshwe hii video

Chonde chonde wachezaji na kocha wa Simba wasioneshwe hii video

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
kwa maslahi mapana ya Simba kocha na wachezaji wasione hii video. hawa ni mashabiki wa Al Ahly wakiwa kwenye uwanja wa mazoezi ila shangwee lake kama fainali ya kombe la dunia, hapo bado wahajachoma mafataki. Hii kitu chama na Bocco wakiiona lazima wakatae kucheza mechi yao.
 
Kawaida hayo mambo af hatuna shida sana na izo points za ugenini hao tunawasubr wote kwa mchina
 
kwa maslahi mapana ya Simba kocha na wachezaji wasione hii video. hawa ni mashabiki wa Al Ahly wakiwa kwenye uwanja wa mazoezi ila shangwee lake kama fainali ya kombe la dunia, hapo bado wahajachoma mafataki. Hii kitu chama na Bocco wakiiona lazima wakatae kucheza mechi yao.

Usihofu hata wakiiona hakuna shida. Wachezani wapo mazoezini na mashabiki pia wanafanya mazoezi ya kushangilia.

Ni bora wakaona mapema wajue mbinu zao na wajiandae kusaikolojia na kimchezo
 
Mashabiki hawachezi,, ingekuwa hivyo Brazil angekula 7 za Ujerumani kweli??
Tumieni akili.
 
Mavii leo ndo mnasema hivyo si kuna msemaji wenu anaitwa sijui minara alisema simba ina kikosi kipana hata Barcelona mnajipigia [emoji3][emoji3][emoji3]
kwani kuna sehemu mchangiaji kapinga swala la kikosi kipana,nilichomuelewa amesema hawa wote tunawasubiri taifa kitu ambacho hata manara ndicho alichosema ,hakuna sehemu manara kasema ana uhakika wa kushinda ugenini,so acha kukurupuka kama una uharo wa maharage yaliyochacha
 
Wakitufunga, tunawafutia tenda ya kujenga bwawa la kufua umeme. Hatupendi masikhara.
 
Mavii leo ndo mnasema hivyo si kuna msemaji wenu anaitwa sijui minara alisema simba ina kikosi kipana hata Barcelona mnajipigia [emoji3][emoji3][emoji3]
Vyura tulizeni mchecheto point za nje hatuna shida nazo tena sisi
 
Back
Top Bottom