Point za nje hamna shida nazo sawa ila kupunguza idadi ya magoli mengi ya kufungwa ni jambo la muhimu sana au Simba inauwezo wa kumfunga Vital goli tano kwenye uwanja wa mchina? Vipi na Al Ahyl nae akimbugiza Simba tena magoli matano, mtaweza kuyarejesha hapa kwa mchina magoli yote hayo? Inabidi kupunguza kufungwa magoli mengi ili iwasaidie kwenye H2H endapo timu zikilingana point.Vyura tulizeni mchecheto point za nje hatuna shida nazo tena sisi
Idadi ya magoli itapungua vijana hawata tuangusha kwahilo haita tokea goli 5 tena ila umeongea ukwel mtupu hapo mkuuPoint za nje hamna shida nazo sawa ila kupunguza idadi ya magoli mengi ya kufungwa ni jambo la muhimu sana au Simba inauwezo wa kumfunga Vital goli tano kwenye uwanja wa mchina? Vipi na Al Ahyl nae akimbugiza Simba tena magoli matano, mtaweza kuyarejesha hapa kwa mchina magoli yote hayo? Inabidi kupunguza kufungwa magoli mengi ili iwasaidie kwenye H2H endapo timu zikilingana point.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakiwa, 1000!!ushangiliaji wao ni zaidi ya wabongo 60,000!!pale kwa mchina!!!Kwataarifa tu hao wameruhusiwa washabiki 10000tu kwa mechi na simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, ila hata 2-2 ni over 3.5Wazee wa kubeti wekeni over 3.5 mambo yanajipa bila msongo wa mawazo [emoji120][emoji120]