Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Point za nje hamna shida nazo sawa ila kupunguza idadi ya magoli mengi ya kufungwa ni jambo la muhimu sana au Simba inauwezo wa kumfunga Vital goli tano kwenye uwanja wa mchina? Vipi na Al Ahyl nae akimbugiza Simba tena magoli matano, mtaweza kuyarejesha hapa kwa mchina magoli yote hayo? Inabidi kupunguza kufungwa magoli mengi ili iwasaidie kwenye H2H endapo timu zikilingana point.Vyura tulizeni mchecheto point za nje hatuna shida nazo tena sisi
Sent using Jamii Forums mobile app