Chonde chonde Zahera aondolewe mapema timu ya Yanga

Chonde chonde Zahera aondolewe mapema timu ya Yanga

Hv unawachukulia zesco poa yetu macho nimekwambia hata Mechi na roller ni bahat hakuna mpira tulocheza mwingi pia nakukumbusha hatugombani usitoe lugha chafu toa maoni na si kumwambia mtu kuwa hana akili ilikuwaje tukafungwa na ruvu shooting tatizo ukweli ukisemwa unakuwa mchungu kama hujui mimi ni Yanga Damu mpira unaonekana tunasema kinachoonekana
Kwani bahati haitegemei uwezo? Wenye hekima zao wamesema: 1. Shallow men believe in luck, strong man believe in cause and effect (watu dhaifu huamini kwenye bahati, watu madhubuti huamini kwenye chanzo na matokeo) 2. Chance favours the prepared mind (bahati humpendelea mwenye akili aliyejiandaa) 3. Luck is when preparation meets opportunity (Bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa)
Halafu unadhani bahati si kipaji!
 
yani unalinganishd mechi ya kirafiki ya pamba na mechi ya Zesco, Utakuwa na matatizo ya akili, wiki ijayo siyo mbali subiri uone zesco anavyoburuzwa
Game nyingi za kirafiki kabla Ya kucheza na Town ship rollers Yanga ilicheza na local teams za Morogoro ambapo Simba yeye alicheza na professional Team za South Africa ikiwamo township rollers ikaishia kuondolewa round ya mwanzo. But bad or good enough Team hiyo hiyo waliopiga game Ya kirafiki na Simba ndo imegongwa na kuondolewa na Yanga
 
Back
Top Bottom