Chonde Kanisa Katoliki, historia inatuhukumu

jaji mfawidhi,

Usitake kuchota watu akili hapa, reading between the lines you have a rabid hatred of everything Christian specifically Roman Catholic sect, hapa unazungumza maneno mengi lakini lengo lako hasa ni ku-scare wananchi kwa kutumia stori za kutunga tu - usifikiri Watanzania wamezaliwa LEO hawana akili ya kutambua lengo lako lenye uwalakini mkubwa. Tell you what? You and your like mind will never succeed kusambaratisha Taifa letu kwa misingi ya kidini.
 
Hoja always inajibiwa na HOJA iliyo bora zaidi,sio kuipiga nyundo au kumjadili mchangiaji na kutofautiana ni HAKI ya kila mmoja wetu humu ILA FACTS ni lazima zibakie hivyo ili kulinda heshima na ukweli wa mjadala;kuonekana kama ni msemaji wa Watanzania wakati sio msemaji wa Watanzania ni ufinyu wa ukweli;kanisa la RC na siasa za nchi yetu binafsi ninaliona limekuwa ndumila kuwili,matamko yake yamekuwa na utatanishi mkubwa;kweli ndani ya nchi yetu kuna uhuru wa kidemkorasia ?je kuna freedom of speech?(ndio maana wote wamejificha ndani ya JF because ndio platform iliyo huru!!),yes kanisa la RC lilihusika mno na mauaji yaliyotokea pale Rwanda.
 
Umeanza vizuri ila hapo mwisho umeharibu njoo jukwani la dini kule uone maajabu ya hio dini yako .

Dini zote miradi ya binadamu

Muamini MUNGU tu usije ukadhani uko sehemu sahihi 100%

Utakuwa umepotoka kweli kweli
Unafahamu maana ya neno Uislam?
 
Najiuliza wapi maaskofu kama hawa ?
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ukisoma kitabu hiki wala hutaumiza kichwa kujua ukweli
 
Mtoa mada nimekuelewa Sana...

Nikikumbuka na wale maaskofu waliopewa mgao wa eskrow pale mkombozi bank... Inaogopesha Sana.
 
N
Ni aibu kwa kanisa katoliki kusifia yanayoendelea nchini.Ruwaichi waeleze watanzani kama ni msimamao wa kanisa katoliki au ni mameno ya pengo.
 
N

Ni aibu kwa kanisa katoliki kusifia yanayoendelea nchini.Ruwaichi waeleze watanzani kama ni msimamao wa kanisa katoliki au ni mameno ya pengo.
Ruwaichi anajielewa, huyu tu kujipendekeza kwake na hajatumwa na mkuu wake, ila hawa jamaa wasome vizuri, just google uone walichofanya pale Rwanda 1994
 


HAWA WALAMBA NYAYO WA SASA HIVI HAWAWEZI.

Maskofu damu za watu zinawalilia mkononi.

VIRGIN MARY PRAY FOR US-Bikira Maria alikufa na sasa anasubiri ufufuo kama watu wengine, sijui nani alikudanganya kapalizwa, lete andiko lolote nakupa vocha ya laki moja,

kama una akili ya kujiunga jf unashindwaje kujua hizo stori za kutunga na hazzipo kwenye biblia?
 
Back to the point.

Achana na habari za bikira maria, unaanzisha mada ingine kabisa usioweza kuibeba hizi mada nishaga zijadili sana humu ndani kwa id yangu iliopigwa ban.
 
hili kanisa ni kawaida yao!wanafanya mauaji halafu wanakaa muda mrefu wanaomba radhi kama wamarekani wafanyavyo!!!!taasisi hii ya kirumi ndo inarekodi ya kuua watu wengi zaidi duniani kuliko vita vyovyote vile katika historia ya ulimwengu!!!
 
...Askofu kasema nendeni mkapige kura, watu humu ndani makelele kibao kwa sababu kwa tafsiri yao mbovu ni kama amesema nendeni mkaipigie kura ccm!, wanasahau kuna vyama vingine vilivyobaki, kwani wananchi hawawezi kuvichagua hivyo?, mnajiona mna hati miliki ya maamuzi ya watanzania wote mkikaa kwenye kamati kuu za vyama vyenu sio?, mlitaka Askofu aseme msiende kupiga kura, ili kwa akili zenu mbovu mtafsiri yuko upande wa vyama vyenu vilivyojitoa sio?

Acheni ujinga, wacha hao wengine waendelee kuwasemea halafu mje muone mnapanda mbegu gani, mnajidai wajuaji sana!
 

UMEONGEA UPUUZI.TUMEKUDHARAU KABISA.HUFAI KWA MAENDELEO YA TAIFA HILI.TUMBO NDIO LIMEKUFANYA UONGEE HUU UOZO.
 

Mkuu Naomba kuuliza kama umeshandika andiko lolote refu kuhusu Askofu Shao na Bagonza. Nimependa mada yako. Naomba nitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…