CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

Azam media ili iendelee kuwa bora,,,, ya2pasa cc raia tuipe support ya nguvu.
 
Nahisi tatizo TV1 wanaonesha kombe la mabara na startimes ndio wamepewa kuonesha hizo mechi. Naona wameleta kikwazo kwa azam nao azam hawataki kuweka wazi
 
Na hii tv1 Tanzania ni nini wakuu? Kwangu haifunguki na natumia kifurush cha 23k = 28k
 
Back
Top Bottom