Chondechonde nafasi za uteuzi anazopewa raisi zitatupeleka pabaya siku moja ni bora tuzipunguze

Chondechonde nafasi za uteuzi anazopewa raisi zitatupeleka pabaya siku moja ni bora tuzipunguze

wakati watanzania wameanza kuonyesha nia ya kuongoza nchi hii ni wazi kuwa watanzania tunaendelea kuunda makundi tena tukiwekeza sana katika kuutafuta uraisi.

huu sio mwelekeo mzuri kama ndani ya makundi kunaweza kuwa na wafuasi wenye malengo ya kimaslahi zaidi ya ushabiki wa kisiasa.


ni vema tupunguze nafasi za raisi kufanya uteuzi tuweke mifumo ya ushindani ili kama kuna watu wana malengo ya kimaslahi wasijiingize katika makundi ya kampeni bali wabaki mashabiki tu.

Pumzika mkuu uje na mawazo mapya inaonekana leo umechoka sana!
 
Back
Top Bottom