Kuna tofauti kati ya starehe na kutafuta mtoto.
Wazungu unamwaga kama kawaida na raha unaipata kama kawaida. Kinachofanyika hapa wanakata au wanablock vas deferens tube. So semen zinakuwa hazina sperm. Raha utapata kama kawaida. Ni kama kwa mwanamke wanapokata mirija ili asipate mimba.Hivi hii ukifanya ni kwamba huwezi kumwaga wadhungu ama inakuwaje?
Kwa hiyo hiyo operation wanaifanyi kwenye pumbuz?Wazungu unamwaga kama kawaida na raha unaipata kama kawaida. Kinachofanyika hapa wanakata au wanablock vas deferens tube. So semen zinakuwa hazina sperm. Raha utapata kama kawaida. Ni kama kwa mwanamke wanapokata mirija ili asipate mimba.
Yes maana huo mrija ndo unatoa sperm kwenye epididymis.Kwa hiyo hiyo operation wanaifanyi kwenye pumbuz?
Sasa makovu kwenye pumbuz tena jamani sii balaa hilo...ebu imagine kidume kimevua boxer alafu unaona likovu kwenye pumbuz sii stim yote ya kugegedwa inapotea🤣🤣🤣🤣🤣Yes maana huo mrija ndo unapeleka sperm kwenye epididymis.
Hakuna kovu. Ni salama. Wanaume wengi tu wamefanya Vasectomy. Na wanaenjoy maana hakuna wasiwasi tena sijui kutegeshewa.Sasa makovu kwenye pumbuz tena jamani sii balaa hilo...ebu imagine kidume kimevua boxer alafu unaona likovu kwenye pumbuz sii stim yote ya kugegedwa inapotea🤣🤣🤣🤣
Hapa ndo mnapokosea wanaume. Mwanamke anaweza pata mimba mara moja tu kwa Mwezi. Mwanaume anaweza sababisha makumi ya mimba kila siku. Yaani anaweza tembea na.wanawake kumi kila siku na akawapa mimba cha muhimu tu wawe kwenye ovulation. Hapa ni nani anatakiwa kujizuia ????Mwanamke ndio mwenye majukumu hayo.
Kuna madactari wa kike wanaofanya hii hapa bongo? Mie siwezi mpelekea pumbuz mwanaume mwezangu bora dokta wa kike ata handle with careHakuna kovu. Ni salama. Wanaume wengi tu wamefanya Vasectomy. Na wanaenjoy maana hakuna wasiwasi tena sijui kutegeshewa.
Nenda Muhimbili kaulize. Mabingwa wa upasuaji wanafanya.Kuna madactari wa kike wanaofanya hii hapa bongo? Mie siwezi mpelekea pumbuz mwanaume mwezangu bora dokta wa kike ata handle with care
Ah mie nikajua wee ndio unafanya haya mambo ninge kuletea pumbuz zangu 🤣🤣🤣🤣🤣Nenda Muhimbili kaulize. Mabingwa wa upasuaji wanafanya.
Njoo Mbeya nikufanyie. Ila hakikisha una watoto na hauna mpango wa kuongeza tena. Maana hii operation ni Irreversible.Ah mie nikajua wee ndio unafanya haya mambo ninge kuletea pumbuz zangu 🤣🤣🤣🤣🤣
Aya nitakuja mbeya unifanyie tena u,uri Beesmom yupo hapo mbeya ataniuguza.Njoo Mbeya nikufanyie. Ila hakikisha una watoto na hauna mpango wa kuongeza tena. Maana hii operation ni Irreversible.
🤣🤣🤣🙌Aya nitakuja mbeya unifanyie tena u,uri Beesmom yupo hapo mbeya ataniuguza.
ila sasa mie mwili wangu una form keloids...itakuwaje hapo? Maana keloid iki form kwenye pumbuz sitapata pisi kali watanikimbia. Kuna njia ya kutreat keloid other than sergical means?
Whaaat?Njoo Mbeya nikufanyie. Ila hakikisha una watoto na hauna mpango wa kuongeza tena. Maana hii operation ni Irreversible.
Kwaiyo tusimwage?[emoji44]Hivi mwanaume unapomwagia ndani unategemea nini? Yaote mahindi au?
Tumien mipira kama hamuwezi mwagieni nje. Mambo za kudai et mmetegeshewa na mnakatia miiba ndani hii kitu siielewagi.Kwaiyo tusimwage?[emoji44]
Aisee[emoji23]Mkuu kwa maandalizi yote aya kwa ajili ya game una toa ushauri wa hivyo kweli ?View attachment 2340836
Yaani hapo kimbia mbaliIle Tuzae ntalea mwenyewe,Kalaghabao[emoji4]
Kuwa na huruma Kwa muhuni..Yaani hapo kimbia mbali
Mimi kuna mke wa mtu anasema anataka anizalie mi namchora tu
Kila akija ghetto anakutana na mipira akiuliza kisingizio hatujapima