Chondechonde usitegeshe Mimba kimakusudi kwa maslahi yako binafsi

Hivi hii ukifanya ni kwamba huwezi kumwaga wadhungu ama inakuwaje?
Wazungu unamwaga kama kawaida na raha unaipata kama kawaida. Kinachofanyika hapa wanakata au wanablock vas deferens tube. So semen zinakuwa hazina sperm. Raha utapata kama kawaida. Ni kama kwa mwanamke wanapokata mirija ili asipate mimba.
 
Kwa hiyo hiyo operation wanaifanyi kwenye pumbuz?
 
Yes maana huo mrija ndo unapeleka sperm kwenye epididymis.
Sasa makovu kwenye pumbuz tena jamani sii balaa hilo...ebu imagine kidume kimevua boxer alafu unaona likovu kwenye pumbuz sii stim yote ya kugegedwa inapotea🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa makovu kwenye pumbuz tena jamani sii balaa hilo...ebu imagine kidume kimevua boxer alafu unaona likovu kwenye pumbuz sii stim yote ya kugegedwa inapotea🤣🤣🤣🤣
Hakuna kovu. Ni salama. Wanaume wengi tu wamefanya Vasectomy. Na wanaenjoy maana hakuna wasiwasi tena sijui kutegeshewa.
 
Mwanamke ndio mwenye majukumu hayo.
Hapa ndo mnapokosea wanaume. Mwanamke anaweza pata mimba mara moja tu kwa Mwezi. Mwanaume anaweza sababisha makumi ya mimba kila siku. Yaani anaweza tembea na.wanawake kumi kila siku na akawapa mimba cha muhimu tu wawe kwenye ovulation. Hapa ni nani anatakiwa kujizuia ????
 
Hakuna kovu. Ni salama. Wanaume wengi tu wamefanya Vasectomy. Na wanaenjoy maana hakuna wasiwasi tena sijui kutegeshewa.
Kuna madactari wa kike wanaofanya hii hapa bongo? Mie siwezi mpelekea pumbuz mwanaume mwezangu bora dokta wa kike ata handle with care
 
Nenda Muhimbili kaulize. Mabingwa wa upasuaji wanafanya.
 
Ah mie nikajua wee ndio unafanya haya mambo ninge kuletea pumbuz zangu 🤣🤣🤣🤣🤣
Njoo Mbeya nikufanyie. Ila hakikisha una watoto na hauna mpango wa kuongeza tena. Maana hii operation ni Irreversible.
 
Aya nitakuja mbeya unifanyie tena u,uri Beesmom yupo hapo mbeya ataniuguza.

ila sasa mie mwili wangu una form keloids...itakuwaje hapo? Maana keloid iki form kwenye pumbuz sitapata pisi kali watanikimbia. Kuna njia ya kutreat keloid other than sergical means?
 
🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom