Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi walioshinda wa vyama vya upinzani ni wangapi?CHADEMA wakigoma, CCM wanaweza kuwapa hizo nafasi TLP au ‘mpinzani’ fake mwingine yeyote yule na ikawa hasara kwa Taifa double double
Viti maalumu plus hao wawili inaweza kuwa wabunge 18 hivi. Something is better than nothing na wakati mwingine ni sawa kuswallow pride ili kujipanga upya kama Taasisi
Bara wawili. Zanzibar nadhani ni 6Hivi walioshinda wa vyama vya upinzani ni wangapi?
Maendeleo hayawezi kujadiliwa na wabunge wa kijani zaidi wanakwenda kuugeuza ukumbi wa bunge kuwa ukumbi wa Chimwaga.Wananchi wamemsikia aliyesema wasimchanganyie, anataka wachague kijani tu awaletee maendeleo. Nani asiyependa maendeleo. Tunasubiri maendeleo, usitutingishe mkuu. Tunataka tukajadili maendeleo Bungeni.
Bara wawili. Zanzibar nadhani ni 6
Mpumbavu wewe mwenye mawazo mgando. wabunge wote wanafanya kazi ya uwakilishi kwa maslahi mapana ya watanzania. acha ujingaMkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni? Muendelee kupigania haki za waliodhulmiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata Kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu
Kikao cha kususia Bunge kilipofanyika hakukuwa na mwanamke hata mmoja. Kwahiyo huu ni mfumo dume unaodharau nafasi ya wanawake kujiamulia mambo yao wenyewe.
Haikuwa Sahihi kutangaza uamuzi bila kuwashirikisha kinamama wenyewe.
Unatania, right? Unataka kuwaambia wakubali serikali ya wizi, wawasahau wanachama wao waliouliwa na kupigwa kwa sababu za kijinga. unafikiri wabunge wachache wa viti maalum kutoka vyama vya upinzani wataweza kubadilisha lolote linalopitishwa na wababe wa CCM?Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
DduhhMkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
Unaelewa au ume_comment nawe uwepo.Wakigoma watakuwa wamedhulumu haki ya wapiga kura waliowachagua sawa na CCM waliodhulumu haki ya wapiga kura kupitia kura fake.
Hapana,wacha wabaki wenyewe wasijesingizia upinzani unakwamisha maendeleo!CHADEMA wakigoma, CCM wanaweza kufanya lolote ikiwemo kubadilisha utaratibu haraka ili kuwapa hizo nafasi TLP au ‘mpinzani’ fake mwingine yeyote yule na ikawa hasara kwa Taifa double double.
Kumbuka kuna kamati mbili za mambo ya Fedha lazima ziongozwe na Wapinzani na CCM bila shaka watahakikisha hilo linatendeka
Viti maalumu plus hao wawili inaweza kuwa wabunge 18 hivi. Something is better than nothing na wakati mwingine ni sawa kuswallow pride ili kujipanga upya kama Taasisi
Kuna mwananchi ambaye tar 28 alipanga foleni kuchagua viti maalum?Wakigoma watakuwa wamedhulumu haki ya wapiga kura waliowachagua sawa na CCM waliodhulumu haki ya wapiga kura kupitia kura fake.
Wakisusa wenzao wala Mana watakuwa hawajengi ila ni kubomoa na kazi yao huwa wanafikiriaga kubomoaMkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
Mimi naona ni vyema waliochaguliwa waendelee kupiga kaziKikao cha kususia Bunge kilipofanyika hakukuwa na mwanamke hata mmoja. Kwahiyo huu ni mfumo dume unaodharau nafasi ya wanawake kujiamulia mambo yao wenyewe.
Haikuwa Sahihi kutangaza uamuzi bila kuwashirikisha kinamama wenyewe.
Mara hii mnataka kuchanganya betri na gunzi? Mbona hamueleweki?Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
Wapinzani wanapinga maendeleo na kuyachelewesha. Toka lini wakawa watetezi wetu?Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
Watetezi wetu walishakataliwa na Dola. Hawa ni mamluki tu kwa maana halisi ya jina hilo.Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?