Uchaguzi 2020 Chondechonde Vyama vya Upinzani, waacheni Wabunge waliochaguliwa na Viti Maalum wakatuwakilishe

hakuna mbunge kwenda, buku saba mtakufa njaa sana kazi yenu haina payroll tena, nyie ni nyani mliyefurahia kifo cha mkulima, msimu wa mahindi itakula kwenu hakuna mlimaji tena
 

Wananchi unaowaongelea kuwa wakawakilishwe ni wapi hao mkuu?
 
CCM mmeshikwa pabayaaaa
 
Hivyo Viti maalum vyama vya upinzani wapewe Ccm
Bunge liwe la kijani lote.
Si huwa mnasema wapinzani wanapinga maendeleo?
 
Mimi nasema waende ili wakale hela kwakuwa maisha ni magumu, lakini sioni lolote la maana humo ndani. Kwangu mimi hilo bunge ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tindoo
 
Waliotangazwa kushinda ni mpango maalum na kwa malengo maalum. Ni Magu anaeamua nani awe mbunge na yupi aachwe
Demokrasia ya ajabu sana hii. Afu Kuna jaji huko NEC anabariki huo uhuni😲
 
Chadema wana qualify kupata wabunge wa viti maalumu. Requirement ni kura za wabunge zifike at least 5% na chadema wamefika na kuzidi. Idadi inategemea na % juu ya hiyo 5%.
So, kwa kigezo hiko cdm wanastahili viti maalum vingapi?
 
Shida chama kinachopaswa kwa mujibu wa katiba lazima kuzingatia idadi ya kura za wabunge.

Sasa TLP, CUF,TADEA,NCCR na makorokoro mengine sidhani kama watafikisha hata kura 10000
 
Wakienda wanahalalisha uchaguzi haramu na kura haramu.
 
Mwenyekiti wenu alisema msichanganyiwe na magunzi sasa hayo magunzi mnayahitaji bungeni ya nini ?
 
Una nia njema Ila hili unalolihoji linahitaji akili ya next level. Waache wanaume CHADEMA wapambane. Wapo sahihi zaidi.
 
Mnataka kuchanganya magunzi na betri, kurunzi halitawaka. Msimamo wetu ni hatutaki wapinga maendeleo bungeni, liacheni bunge liwe la kijani.
 
Hatutaki vibaraka wa MABEBERU kwenye bunge letu tukufu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Acha CCM na ushindi wa kishindo waendeshe nchi sasa
 
Hapana,wacha wabaki wenyewe wasijesingizia upinzani unakwamisha maendeleo!
Acha wafanye watakacho,hata wakitengeneza upinzani na kisha kuwapa nafasi hizo,ni sawa tu!
Pigeni kazi,uchaguzi umekwisha na tumeamua tuwaachie kila kitu CCM!
Nakubaliana na wewe aisee! CCM msichanganye magunzi na betri.
 
Naona wao waliochaguliwa waendelee na shuguli za wananchi. Ni bora hao 18 kuliko kuwa bila hata moja ndani ya mjengo.
Safi sana.


Bora upate Kidogo kuliko kukosa vyote.






Wawape nafasi alafu wengine waendee kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi ujao
 
Wakisusa wenzao wala Mana watakuwa hawajengi ila ni kubomoa na kazi yao huwa wanafikiriaga kubomoa
Waache wale bana! Mbunge mmoja ni insignificant. Ataishia kuzomewa tu. Angalau apate posho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…