Uchaguzi 2020 Chondechonde Vyama vya Upinzani, waacheni Wabunge waliochaguliwa na Viti Maalum wakatuwakilishe

Matokeo ya tunayo yafanya leo pande zote mbili yatatupa nafasi ya kuingalia demokrasia ya vyama vingi kwa macho ya miwani.

Sina hakika kama pande zote zinachukua hatua sahihi. Kati yetu mmoja atapoteza kuliko alivyodhani.

Let's keep watching the political development with keen eyes while open.
 
Kalale na mkeo,haya hayakuhusu
 
Maendeleo hayawezi kujadiliwa na wabunge wa kijani zaidi wanakwenda kuugeuza ukumbi wa bunge kuwa ukumbi wa Chimwaga.
Naelewa mkuu. Ukinisoma between the lines utanielewa nini nimeandika hapo. Hiyo lugha niliyoiweka hapo tuko pamoja kabisa na hicho ulichoweka wewe. Tunasubiri maendeleo ya chama kimoja baada ya wale waliokua wanayarudisha nyuma kuwekwa pembeni.
 
Kumbe upinzani ni wa muhimu mjengoni!??. Siyo wanaturudisha nyuma!?
Katika taratibu tano za kumshugulikia mpinzani wako, moja Inataka kwenye political contest : Mpinzani wako lazima apigwe na achakae sana, kiasi kama asiweze kabisa kuwa na uwezo wa kurudusha mashambulizi.

Na hata ikitokea anaweza kurudusha mashambulizi basi kupitia kuchakaa kwa kipigo chako kifikia Mpinzani hata akijibu mashambulizi yanatakiwa yake hafifu kiasi hakuna madhara yoyote utakayopata kwa kujibu mashambulizi yako.
 
hakuna mbunge kwenda, buku saba mtakufa njaa sana kazi yenu haina payroll tena, nyie ni nyani mliyefurahia kifo cha mkulima, msimu wa mahindi itakula kwenu hakuna mlimaji tena
Heee
 
Uchaguzi umeisha sasa kampeni za nini tena,tuchape kazi mambo mengine hayatuhusu.
 
Chadema wana qualify kupata wabunge wa viti maalumu. Requirement ni kura za wabunge zifike at least 5% na chadema wamefika na kuzidi. Idadi inategemea na % juu ya hiyo 5%.
Wana qualify kivipi wakati uchaguzi haukuwa huru?
 
Wana qualify kivipi wakati uchaguzi haukuwa huru?
Katika matokeo hayohayo yenye "sarakasi" hicho "walichopewa" CHADEMA kinawapa sifa ya kuteua wabunge wa viti maalumu. Suala la kukubali kuteua au kutoteua linabaki kwenye uamuzi ndani ya chama.
 
Hatututaki.Bunge la sasa halikuchaguliwa na wananchi bai lilichaguliwa na NEC na wakurugenzi
 
Mwenye nchi ameshasema wapinzani wametuchelewesha sana miaka yote hii 60 ya Uhuru wetu wapinzani wamekuwa kikwazo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…