Chondee chondee wapendwa nakosa rahaa...

Chondee chondee wapendwa nakosa rahaa...

dodoso33

Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
38
Reaction score
11
wapendwa shikamoo,poleni na majukumu ya kujenga taifa
msaada tafadhali
nimeappeal loan board lakini cha ajabu nakutana na hilo tatizo hapo chini kwenye picha "The Course field must contain only positive numbers" nashindwa kuelewa nijaze vipi hiyo form!
Natanguliza shukrani zenu
 

Attachments

  • UC121019114956.png
    UC121019114956.png
    16.3 KB · Views: 83
na mimi ni kitu hicho hicho sijui ni kwa nn kwenye hiyo step inaleta hiyo error
 
Haya sasa utakapolipata bumu ule na maduu,ndo hivyo najua utasahau msoto uliopitia!
 
Back
Top Bottom