Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Na sheria tulibadilisha mbio mbio kwaajili ya huu mradi tukaambiwa kutakuwa na ajira za kumwaga na watu watalipwa mafidia makubwa makubwa. Wengine wakanunua hadi ma buldoza kusubiri tenda. Tukiwaambia Magufuli ni mtu asiyepaswa kuaminiwa hata chembe mnatuita mawakala wa mabeberu. Haya February hiyo bado siku kumi labda tutafanya kazi usiku na mchana kuukamilisha kwa siku 10 kama anavyosemaga "mfanze kazi usiku na mchana"
 
CCM imejaa wadanganyifu na wahuni. Mambo mengi wanayohubiri kuwa yana manufaa makubwa huishia kuleta hasara kubwa.
 
Holaa.Nilikuwa nawaangalia hapo watanzania wenzangu walivyokuwa wanashangilia na kupiga makofi, yalivyo makondoo sasa hivi yalishasahau.
Halafu Kinana ni mnafiki aisee😂😂 ...sio tu ni mshamba, amechanganyikiwa ( in Kinana's voice)
 
Tukisema Jpm ni kichaa!wakina Magufulianz na wenzake wanatuzodoa humu jukwaani!!!TANGU ALIPOTAMKA KAULI ZA HOVYO KWA WANAKAGERA WENYE MAJONZI YA TETEMEKO!NILIPIGIA MSTARI JPM NI MWEHU KABISA!!!!!!nashangaa watu wa veting hawakuliona hili!!!
 
Tukisema Jpm ni kichaa!wakina Magufulianz na wenzake wanatuzodoa humu jukwaani!!!TANGU ALIPOTAMKA KAULI ZA HOVYO KWA WANAKAGERA WENYE MAJONZI YA TETEMEKO!NILIPIGIA MSTARI JPM NI MWEHU KABISA!!!!!!nashangaa watu wa veting hawakuliona hili!!!
Haishangazi huyo mtu si binadamu hivyo hana utu. Ukiacha kauli hiyo kuna ile kauli ya kumkaribisha yule aliyechukua jimbo la Tundu Lissu. Yaani alisema kuwa jimbo limetelekezwa wakati Lissu yuko hospitali. Aisee acha tu.
 
Uganda watakuwa majuha kuacha kuunga bomba lao na lile la wakenya litakalotoka Turkana kwenda ktk pwani ya Lamu.

Kwa kufanya hivyo watakuwa wameokoa kilometers kibao na mamilioni ya dola. Bomba litakalopitia Kenya ambalo pia litaungwa na lile la South Sudan litalindwa na serikali ya Kenya.

Nchi nyingi sasa hivi zinaiona Tanzania kama sio taifa lenye kueleweka kwani wanaonesha sio watu wa kuheshimu mikataba na wanaona makampuni mbali mbali za kimataifa (Multinational Companies) zinavyoiburuza mahakamani hii serikali kwa kutoheshimu mikataba, ubabe na ulaghai.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wapinzani mna vihoja
 

Hiki kilikuwa ni nini, na leo wanasaini nini? Au ndio mambo ya kuingizana mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…