Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE.
mfano ni ziara yake kule Iringa hakika unaweza kutamani uendelee kuwashuhudia viongozi wachache majasiri wa aina yake waliobaki hapa nchini.
Na hiyo ndiyo maana sahihi ya usaidizi kwa Rais wa Nchi ndugu Samia.
View attachment 2642543