Chongolo anza ziara nchi nzima kufafanua ufisadi ripoti ya CAG

Chongolo anza ziara nchi nzima kufafanua ufisadi ripoti ya CAG

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya sasa kujibu hoja za mkataba wa Bandari.

Ziara ya Bandari isimame kwanza na wafanye tathmini ya mikutano ya Katibu Mkuu Chongolo dhidi ya maoni ya watanzania waliyoyatoa kupitia mitandao ya kijamii kuliko mbinu ya kuleta watu kutoka kila kata na kujaza mkutano kutengeneza mahudhuria hewa.

Sasa Chongolo aanze ziara ya kufafanua ufisadi wa trilioni zaidi ya 20 uliotajwa na CAG.
 
Naona mnahaha kuamisha mjadala..
😅😅
 
Back
Top Bottom