Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri.
Amesema mwanasiasa mzuri ni yule anayepambana muda husika, kujipanga mapema sio sahihi kwa kuwa huwezi jua ya kesho. Hata hivyo amesema hata wahangaike namna gani hawawezi kuipangua mipango ya Mungu ambayo amepanga kiongozi wa kuwa ktika nafasi fulani.
Ameyasema hayo kwenye sherehe ya kumkaribisha Abdulrahman Kinana