Matumizi ya Serikali ni makubwa, na hovyoo. Wananchi wanabebeshwa mzigo kuendesha Serikali
Stock ya Zamani ya Siku 27, inauzwa Kwa Bei MPYA
Mafuta Bei rahisi yapo huko baharini, Russia wanauza mafuta ..India na China wananunua
Chama hakiisimamii Serikali..ni kupongezana tuu