Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
"....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi."

"....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa viongozi na hapo ndipo mnapofeli kwa sababu huyo unayemtegemea akiondoka na wewe ndiyo mwisho wako."

"HUWEZI KUJA NA NDOTO ZAKO HAPA CCM UNATAKA UWE KIONGOZI NA UKAFANIKIWA. WOTE WALIOKUJA NA NDOTO ZAO HAPA WALIDONDOKA NA HISTORIA INATAMBUA HILO."

SG Chongolo.
 
Magufuli alikuja na ndoto zake na akapewa nchi, huyu jamaa anaongea nini

Issue ya Bandari imeichafua sana kijani
 
Basi Nenda Magufuli hakuwahi kujitangaza wazi wazi iwe ki nyendo na hata kwa majisifu bali yeye alijiendea kwenye kinyang'anyiro kile pasina mbwembwe.
 
Tupo na suala la CCM kuuza nchi msituchanganyie mafaili hapa.
 
"....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi."

"....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa viongozi na hapo ndipo mnapofeli kwa sababu huyo unayemtegemea akiondoka na wewe ndiyo mwisho wako."

"HUWEZI KUJA NA NDOTO ZAKO HAPA CCM UNATAKA UWE KIONGOZI NA UKAFANIKIWA. WOTE WALIOKUJA NA NDOTO ZAO HAPA WALIDONDOKA NA HISTORIA INATAMBUA HILO."

SG Chongolo.
Gari bovu hilo lisije likamfia, maana si kwa kuuza nchi badala ya kuelimishana mnahangaika na ujinga
 
Back
Top Bottom