Chongolo umewasahau waliokufisha ulipo unaanza kuwadhalilisha

Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi.

Kwa ambao hamfahamu masuala ya CCM Bashe ndani ya Chama ni Kiongozi mkubwa kuliko Chongolo na anaweza kuendesha kampeni ya kuungana na WANEC wenzake kuishauri Kamati Kuu kutengua uteuzi wa Chongolo.

Watu wengi wamelalamikia maagizo hayo ya Chongolo kwa Bashe na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mawaziri wanaoongoza kwa kulalamikiwa na wananchi kwa utendaji usioridhisha ni watu wa karibu sana na Chongolo na ndio wanaotajwa kumuweka kwenye hiyo nafasi ya KM- CCM ili kulinda maslahi yao.

Mawaziri hao ni pamoja na Bashe, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba na Nape Nauye ambao inatajwa kuwa Chongolo ndio aliwasimamia kuhakikisha vikao vya maamuzi ya Chama vinawateua majina yao na kusimamia kuhakikisha wanashinda nafasi hizo.

Leo Chongolo anapata wapi uhalali wa kulalamikia utendaji wa Waziri Bashe ikiwa wakati anampigania kuingia NEC alikuwa anafahamu watanzania wengi wanamlalamikia kwa kushindwa kudhibiti upandaji wa bei za chakula pamoja na mgogoro wa mbolea za ruzuku.

View attachment 2499977
Unamkumbusha awalipe fadhila waliomfikisha hapo?

Uongozi Si maandazi ambayo unaweza gawana na mtu.

Pia uongozi unatolewa Kwa idhini ya wananchi Si hisani.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi.

Kwa ambao hamfahamu masuala ya CCM Bashe ndani ya Chama ni Kiongozi mkubwa kuliko Chongolo na anaweza kuendesha kampeni ya kuungana na WANEC wenzake kuishauri Kamati Kuu kutengua uteuzi wa Chongolo.

Watu wengi wamelalamikia maagizo hayo ya Chongolo kwa Bashe na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mawaziri wanaoongoza kwa kulalamikiwa na wananchi kwa utendaji usioridhisha ni watu wa karibu sana na Chongolo na ndio wanaotajwa kumuweka kwenye hiyo nafasi ya KM- CCM ili kulinda maslahi yao.

Mawaziri hao ni pamoja na Bashe, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba na Nape Nauye ambao inatajwa kuwa Chongolo ndio aliwasimamia kuhakikisha vikao vya maamuzi ya Chama vinawateua majina yao na kusimamia kuhakikisha wanashinda nafasi hizo.

Leo Chongolo anapata wapi uhalali wa kulalamikia utendaji wa Waziri Bashe ikiwa wakati anampigania kuingia NEC alikuwa anafahamu watanzania wengi wanamlalamikia kwa kushindwa kudhibiti upandaji wa bei za chakula pamoja na mgogoro wa mbolea za ruzuku.

View attachment 2499977
chongolo hajasema bashe hafai kazi bali kamwelekeza kuja kutatua matatizo ya wananchi kisa liko wapi?
 
Huna nidhamu kabisa! Yaani unamtisha Katibu Mkuu wa Chama kusimamia maisha ya wananchi? Pili, sidhani kama Waziri Bashe kakutuma uandike hiki ulichokileta hapa umeamua tu kumchonganisha. #CCM ndio ina mkataba na wananchi,tuwaache viongozi wa Chama wafanyekazi.🙏🙏🙏
 
Endelea kujivua gamba Katibu Mkuu Chongolo,kama mwandishi anasema ulishalipa fadhila kwa kuwasaidia kuwa wajumbe wa NEC,sasa hivi watumikie watanzania. Hakuna ajuaye kesho,simama kivyako,kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila nikuhakikishie utakayofanya sahihi kwa nchi hii yatakufikisha mbali.
 
Chongolo hajielewi. Kuna waziri anafanya kazi nzuri kuliko Bashe? Ametumwa na wanaoogopa nguvu ya Bashe.
 
Huna nidhamu kabisa! Yaani unamtisha Katibu Mkuu wa Chama kusimamia maisha ya wananchi? Pili, sidhani kama Waziri Bashe kakutuma uandike hiki ulichokileta hapa umeamua tu kumchonganisha. #CCM ndio ina mkataba na wananchi,tuwaache viongozi wa Chama wafanyekazi.🙏🙏🙏
Chongolo ni mteuliwa kwenye CCM, Bashe amechaguliwa na wanachama
 
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi.

Kwa ambao hamfahamu masuala ya CCM Bashe ndani ya Chama ni Kiongozi mkubwa kuliko Chongolo na anaweza kuendesha kampeni ya kuungana na WANEC wenzake kuishauri Kamati Kuu kutengua uteuzi wa Chongolo.

Watu wengi wamelalamikia maagizo hayo ya Chongolo kwa Bashe na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mawaziri wanaoongoza kwa kulalamikiwa na wananchi kwa utendaji usioridhisha ni watu wa karibu sana na Chongolo na ndio wanaotajwa kumuweka kwenye hiyo nafasi ya KM- CCM ili kulinda maslahi yao.

Mawaziri hao ni pamoja na Bashe, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba na Nape Nauye ambao inatajwa kuwa Chongolo ndio aliwasimamia kuhakikisha vikao vya maamuzi ya Chama vinawateua majina yao na kusimamia kuhakikisha wanashinda nafasi hizo.

Leo Chongolo anapata wapi uhalali wa kulalamikia utendaji wa Waziri Bashe ikiwa wakati anampigania kuingia NEC alikuwa anafahamu watanzania wengi wanamlalamikia kwa kushindwa kudhibiti upandaji wa bei za chakula pamoja na mgogoro wa mbolea za ruzuku.

View attachment 2499977
Tuoneshe kosa la Chongolo ni lipi kiutendaji.
 
Back
Top Bottom