Chongolo umewasahau waliokufisha ulipo unaanza kuwadhalilisha

Unamkumbusha awalipe fadhila waliomfikisha hapo?

Uongozi Si maandazi ambayo unaweza gawana na mtu.

Pia uongozi unatolewa Kwa idhini ya wananchi Si hisani.
 
chongolo hajasema bashe hafai kazi bali kamwelekeza kuja kutatua matatizo ya wananchi kisa liko wapi?
 
Huna nidhamu kabisa! Yaani unamtisha Katibu Mkuu wa Chama kusimamia maisha ya wananchi? Pili, sidhani kama Waziri Bashe kakutuma uandike hiki ulichokileta hapa umeamua tu kumchonganisha. #CCM ndio ina mkataba na wananchi,tuwaache viongozi wa Chama wafanyekazi.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Endelea kujivua gamba Katibu Mkuu Chongolo,kama mwandishi anasema ulishalipa fadhila kwa kuwasaidia kuwa wajumbe wa NEC,sasa hivi watumikie watanzania. Hakuna ajuaye kesho,simama kivyako,kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila nikuhakikishie utakayofanya sahihi kwa nchi hii yatakufikisha mbali.
 
Chongolo hajielewi. Kuna waziri anafanya kazi nzuri kuliko Bashe? Ametumwa na wanaoogopa nguvu ya Bashe.
 
Chongolo ni mteuliwa kwenye CCM, Bashe amechaguliwa na wanachama
 
Tuoneshe kosa la Chongolo ni lipi kiutendaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…