Choo cha kijani kwa mwanangu, shida ni nini?

tumaini obedi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
340
Reaction score
190
Salaamu sana wana JF mwanangu ana miezi mitatu na siku 13 mpaka sasa.

Anayo shida ya kujisaidia kinyesi cha ranging kama ya kijani vile , kikiambatana na utelezi hivi na kikiwa na povu kwa juu, na kuwa Mara kwa mara tena jamba jamba huwa nyingi sana unaweza dhani ameachia mzigo wa kutosha kumbe hamuna kabisa kinyesi huwa kidogo sana na wakati mwingine hakitokezei kabisa.

khali hii, hutokea pale anapo maliza kunyonya au anapokuwa anaendea na kunyonya.

Shida hii sasa ina muda kama wa mwenzi mmoja.

Tumeongea na watu wengi , na tukaambia ni mchango,wengine ni makaputura , ...na mengine mengi tulielekezwa tumupe frajiri kweli ilimusaidia tena akawa emefunga baada ya kama wiki hivi, khali ikajirudia tena kwa kuwa tulikuwa tumeelekezwa Dawa nyingi kipindi hicho tuka amua kubadili gia tunamupatia Dawa za muchango a.k.a za kienyeji Lakini naona hazijamusaidia hata kidogo.

Msaada wenu, Asanteni sana.
 
Kama ananyonya kufuani rangi ya kijani ni mboga za majani unazokula

Ila anaonekana huko mbeleni atakuja kuwa mwana Yanga FC na mwana CCM mzuri sana kwani ana nyota ya ' Ukijani Ukijani ' iliyotukuka kabisa.
 
shida IPO kidogo ,,wakati mwingine hujinyonga nyonga tumbo japo si sana
mkuu fanya hakikisha mtoto wako ananyonya na ule mzungoko wa nyeusi unangia mdomoni mtoto hewa isipite .... mlaze kifudifudi ila kwa kuwa bado mdogo uwe unamwanagalia mara kwa mara asije jiziba pumzi...

Kama anagesi msaidie njia moja wapo ni kumfanyia massage ya tumbo. nyingine ni kulaza chali halafu mkunje miguu kuja kwa kichwa atatoa gesi.. acha kumpa dawa uone
 
Ila anaonekana huko mbeleni atakuja kuwa mwana Yanga FC na mwana CCM mzuri sana kwani ana nyota ya ' Ukijani Ukijani ' iliyotukuka kabisa.
CCM? umeniharibia siku yangu kweli,,,,ila asante, nisingependa kusema mengi ikaitwa mchochezi.....Dahaaaaaa
Na akidhutu kujiunga na hill li chama ,,,na ambavyo Niko na muhangaikia .....si mwanangu tena.
 
Kwani na wewe ukinya huoni hizo colour za mboga za majani hata kidogo kwenye mavi yako?
Ni sawa...lakini cha huyu....si kinyesi kizuri hata kidogo,, kama nilivyotangulia kusema...kina utelezi.
.
Halafu anakunya kunya Mara kwa Mara....kama Mara sita ,saba.. kwa siku.....sidhani kwa hii ni khaki ya kawaida...n
 
Kimbia kwa bingwa wa watoto acha mambo ya ujinga wewe.
 
Ni sawa...lakini cha huyu....si kinyesi kizuri hata kidogo,, kama nilivyotangulia kusema...kina utelezi.
.
Halafu anakunya kunya Mara kwa Mara....kama Mara sita ,saba.. kwa siku.....sidhani kwa hii ni khaki ya kawaida...n
Hayo madawa ndiyo shida
 
Ni sawa...lakini cha huyu....si kinyesi kizuri hata kidogo,, kama nilivyotangulia kusema...kina utelezi.
.
Halafu anakunya kunya Mara kwa Mara....kama Mara sita ,saba.. kwa siku.....sidhani kwa hii ni khaki ya kawaida...n
Kinyesi cha kijani pia ni dalili ya aleji kwa watoto,so angalia aina ya madawa unayotumia pindi unapotumia pia na aina ya vyakula unavopendelea kula hada protini ie samaki,nyama.
Pia kesi nyingi za ivo mwanao anaeza akapatwa na aleji pindi akikua.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…