tumaini obedi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 340
- 190
Salaamu sana wana JF mwanangu ana miezi mitatu na siku 13 mpaka sasa.
Anayo shida ya kujisaidia kinyesi cha ranging kama ya kijani vile , kikiambatana na utelezi hivi na kikiwa na povu kwa juu, na kuwa Mara kwa mara tena jamba jamba huwa nyingi sana unaweza dhani ameachia mzigo wa kutosha kumbe hamuna kabisa kinyesi huwa kidogo sana na wakati mwingine hakitokezei kabisa.
khali hii, hutokea pale anapo maliza kunyonya au anapokuwa anaendea na kunyonya.
Shida hii sasa ina muda kama wa mwenzi mmoja.
Tumeongea na watu wengi , na tukaambia ni mchango,wengine ni makaputura , ...na mengine mengi tulielekezwa tumupe frajiri kweli ilimusaidia tena akawa emefunga baada ya kama wiki hivi, khali ikajirudia tena kwa kuwa tulikuwa tumeelekezwa Dawa nyingi kipindi hicho tuka amua kubadili gia tunamupatia Dawa za muchango a.k.a za kienyeji Lakini naona hazijamusaidia hata kidogo.
Msaada wenu, Asanteni sana.