Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha, asante kwa ushauri.
hahahaha, asante kwa ushauri.
Mbona umecheka JEKI? Hiyo ndo mbinu tunayotumia huku kijijini kwenye vyoo vya mashimo (pit latrines). Nikadhani itafaa pia kwenye vyoo vya 'kihindi'.
Hiyo staili (ya stuli) inafaa sana hata kwa wazee/vikongwe ambao kuchuchumaa kwao ni mtihani. Ningekuwekea picha lakini mchina wangu si rafiki yanapofikia masuala ya picha.