Choo cha kulipia utafurahia huduma zote

Alikuwa mzalendo ingawa hakujua kama angekufa na kuliacha Taita hili mokononi mwa mafisimaji ambao alisema kama unauna wana sura nzuri sana waalike nyumbani kwako unywe nao chai. Watanzania hawakumwelewa mzee wakamkabidhi yuleyule ambaye mwalimu alimkataa na sasa wanajuta, wafanye nini wanasubiri 2015 wamwadhibu wakati yeye atakuwa keshajilimbizikizi za kutosha uswisi na anatakuwa na uwezo wa kwenda kujifisha mahali popote na mkiliteta noma sana atajifanya amekufa kaa balaha hili.

 


kwa akili ya haraka haraka kalikuwa kanawaza nini?
 
Hakuna tatizo, ni ka-tafiti katarajiwa
 
Anajipanga na yeye akanyonye...ndio kifuatacho!
 
Maziwa yamemvutia anayapigia mahesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…