Choo cha Mil. 28.7 nyufa kila kona

Choo cha Mil. 28.7 nyufa kila kona

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
CHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

Wakati wakuonyesha UTEKELEZAJI WA ILANI WENYE MASHAKA NA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE, HIZI NI PESA ZA UMMA.

Hiki ni Choo kimejengwa Katika SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO, MTAA WA MSIGANI, KATA YA WAZO, WILAYA YA KINONDONI, MKOA WA DAR ES SALAAM.

WanaCCM hii ni aibu kuona ujenzi wa CHOO chenye gharama ya MIL.28.7 hakijaanza kutumika, tayari kina nyufa kila kona ya CHOO, Hivi pesa hizi zinazotumiwa vibaya ni faida ya nani...?

Naonyesha madhaifu haya ili SERIKALI ichukuwe hatua juu ya wahusika wenye kufanya uzembe wa namna hii.

Naomba SERIKALI ngazi ya WILAYA ifike sehemu husika na itowe majibu ya hili nasikitika kuona haya, BAADHI YA WATUMISHI WANAZALILISHA SERIKALI YETU, HILI SII JAMBO JEMA HALIPASWI KUFUMBIWA MACHO.

UJENZI WA CHOO CHENYE MATUNDU 12 HAKIJAANZA KUTUMIWA NA WANAFUNZI TAYARI KINA NYUFA KONA ZOTE HALAFU TUKUBALI UTEKELEZAJI WA ILANI KUWA UMEFANA?

HAPANA NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
NIPO KWA DHAMANA YA CHAMA, SII YA MTU.

Cde. Elmanz Rashid Gama
Mzalendo halisi &
Admin wa Jukwaa la
TAIFA LA CCM TANZANIA
🇹🇿

View attachment 2475383
mbona majanga
 
[emoji1241]

View attachment 2475383
Hivi huwa hawaoni aibu??
 
Mkuu mbona choo cha zamani hiki.. umedanganywa aisee
Sio kipya hiki
 
Kmmae
 
Shida kubwa inaletwa na kitu kinachoitwa CCM, Chama hiki kinaleta shida na taaruki sana kwenye jamii kuhusiana na kitu wanakiita utekelezaji wa ILANI.

Imefikia hatua kila mwanaccm anajiona anayohaki ya kukosoa na kutoa mwingozo kuhusiana na kitu chochote kinachojengwa hapa Nchini kwa mgongo wa kukagua,kusimamia na kutembelea utekelezaji wa ILANI.

Tuweni na kiasi katika shughuli za Chama, hakuna nchi iliyoendelea kwa kufanya haya yanayofanywa na CCM.
Kuanzia kwa jumuia ya wazazi, wazee, vijana mpaka wabunge wao...kitu kinaitwa professional kwao haina tija bali ni kufurahisha adhira inayowazungusha.

Nchi hii inadidimizwa na CCM kwa makusudi au kwa kutojua.
 
CHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

Wakati wakuonyesha UTEKELEZAJI WA ILANI WENYE MASHAKA NA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE, HIZI NI PESA ZA UMMA.

Hiki ni Choo kimejengwa Katika SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO, MTAA WA MSIGANI, KATA YA WAZO, WILAYA YA KINONDONI, MKOA WA DAR ES SALAAM.

WanaCCM hii ni aibu kuona ujenzi wa CHOO chenye gharama ya MIL.28.7 hakijaanza kutumika, tayari kina nyufa kila kona ya CHOO, Hivi pesa hizi zinazotumiwa vibaya ni faida ya nani...?

Naonyesha madhaifu haya ili SERIKALI ichukuwe hatua juu ya wahusika wenye kufanya uzembe wa namna hii.

Naomba SERIKALI ngazi ya WILAYA ifike sehemu husika na itowe majibu ya hili nasikitika kuona haya, BAADHI YA WATUMISHI WANAZALILISHA SERIKALI YETU, HILI SII JAMBO JEMA HALIPASWI KUFUMBIWA MACHO.

UJENZI WA CHOO CHENYE MATUNDU 12 HAKIJAANZA KUTUMIWA NA WANAFUNZI TAYARI KINA NYUFA KONA ZOTE HALAFU TUKUBALI UTEKELEZAJI WA ILANI KUWA UMEFANA?

HAPANA NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
NIPO KWA DHAMANA YA CHAMA, SII YA MTU.

Cde. Elmanz Rashid Gama
Mzalendo halisi &
Admin wa Jukwaa la
TAIFA LA CCM TANZANIA
🇹🇿

View attachment 2475383
Watu wa hivi wachukuliwe hatua.

Pia Serikali iajiri wataalamu wa Ujenzi iache walimu wafundishe sio kuwafanya wasimamizi wa Ujenzi.
 
Nchii imeoza kila kona huku Ifakara wanakwangua barabala za vumbi bila kujenga mitalo mvuo zikinyesha maji yanatuama ujinga huu unafanyika mkuu wa wilaya yupo mbunge yupo diwani yupo mea yupo bado wanawake wachimbishwa barabala kwa mikono heti wanalipwa na tasafu barabala hizo mvuo ikinyesha tu zina jaa maji deni la taifa tutalipa mpaka kizazi sababu ya watu wachache wenye matumbo yasio jaa
 
Soko kuu la njombe mama alilifungua kwa mbwembwe hali yakuwa limejengwa chini ya kiwango sio muda mrefu sakafu yote itajaa mashimo,tatalipa madani yenye riba mpaka kizazi mwendo kama ndio huu sijui wabunge na wakuu wa wilaya hawa kusoma hata hile akili ya kuzaliwa hawanaga?
 
Haya Mambo Yanaudhi but tabia ya wanasiasa kulazimisha gharama ndogo ndio inaoelekea ujenzi substandards.
 
Nchii imeoza kila kona huku Ifakara wanakwangua barabala za vumbi bila kujenga mitalo mvuo zikinyesha maji yanatuama ujinga huu unafanyika mkuu wa wilaya yupo mbunge yupo diwani yupo mea yupo bado wanawake wachimbishwa barabala kwa mikono heti wanalipwa na tasafu barabala hizo mvuo ikinyesha tu zina jaa maji deni la taifa tutalipa mpaka kizazi sababu ya watu wachache wenye matumbo yasio jaa
Of course ujenzi huo uko kila sehemu hapa Tanzania na wanasingizia Pesa Ila Ni Bora ujenge sehemu ndogo ya kudumu kuliko sehemu kubwa ikasombwa na mvua.
 
Hiki choo sio kipya kimefanyiwa ukarabati tena kiujanja ujanja
 
Back
Top Bottom