Choo cha Mil. 28.7 nyufa kila kona

Choo cha Mil. 28.7 nyufa kila kona

CHOO CHA MIL.28.7 NYUFA KILA KONA.

Wakati wakuonyesha UTEKELEZAJI WA ILANI WENYE MASHAKA NA WAHUSIKA WAWAJIBISHWE, HIZI NI PESA ZA UMMA.

Hiki ni Choo kimejengwa Katika SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO, MTAA WA MSIGANI, KATA YA WAZO, WILAYA YA KINONDONI, MKOA WA DAR ES SALAAM.

WanaCCM hii ni aibu kuona ujenzi wa CHOO chenye gharama ya MIL.28.7 hakijaanza kutumika, tayari kina nyufa kila kona ya CHOO, Hivi pesa hizi zinazotumiwa vibaya ni faida ya nani...?

Naonyesha madhaifu haya ili SERIKALI ichukuwe hatua juu ya wahusika wenye kufanya uzembe wa namna hii.

Naomba SERIKALI ngazi ya WILAYA ifike sehemu husika na itowe majibu ya hili nasikitika kuona haya, BAADHI YA WATUMISHI WANAZALILISHA SERIKALI YETU, HILI SII JAMBO JEMA HALIPASWI KUFUMBIWA MACHO.

UJENZI WA CHOO CHENYE MATUNDU 12 HAKIJAANZA KUTUMIWA NA WANAFUNZI TAYARI KINA NYUFA KONA ZOTE HALAFU TUKUBALI UTEKELEZAJI WA ILANI KUWA UMEFANA?

HAPANA NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
NIPO KWA DHAMANA YA CHAMA, SII YA MTU.

Cde. Elmanz Rashid Gama
Mzalendo halisi &
Admin wa Jukwaa la
TAIFA LA CCM TANZANIA
🇹🇿


View attachment 2475383
Tunacheka sio kwa kufurahia kilichofanyika bali ni kujaribu kupunguza machungu ya namna watu wanavyozipiga pesa za kodi zetu !! Duh ! Hatar sana !
 
Hiki choo sio kipya kimefanyiwa ukarabati tena kiujanja ujanja
Mkuu wa wilaya diwani mbunge mea serikali za mitaa na mkandarasi lao 1 mpaka ujinga huo anaona mtu wa kawaida wao wako wapi? kwanza huyu msemaji kama kameza Cd hapo tengeta si nijimboni kwake(gwajima)
 
Back
Top Bottom