Choo cha stendi ya daladala pale Morogoro

kaburi jeusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
258
Reaction score
145
Jamani choo cha stendi ya daladala pale Morogoro mapato yake yanadhibitiwa kweli? Au ni kuwanufaisha wakusanyaji mbona hakuna risiti pale na ukipewa risiti unapewa iliyopita muda wake kama kuna janjajanja inafanyika pale.
 
Hata cha stand ya Dodoma, kwanza usafi -ve, maji zero, ukarimu hakuna.
Ni sheeeeeeedah juu ya shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…