kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Jamani choo cha stendi ya daladala pale Morogoro mapato yake yanadhibitiwa kweli? Au ni kuwanufaisha wakusanyaji mbona hakuna risiti pale na ukipewa risiti unapewa iliyopita muda wake kama kuna janjajanja inafanyika pale.