Choo changu kimejaa, nahitaji gari la maji taka

Choo changu kimejaa, nahitaji gari la maji taka

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
248
Reaction score
147
Wapendwa habari ya asubuhi.

Naomba kufahamu kwa mwenye kufahamu gharama za unyonyaji wa maji taka katika choo kilichojaa. Au kwa anayewafahamu wanaofanya shughuli ya aina hii.

Natanguliza shukrani zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Choose kimejaaa nenda kwa wenye magari Zungumza nao Bei zinatofautiana sehemu na sehemu na ukubwa wa gari ila wewe weka 100,000/= kwa trip moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafinga mpaka madibira ni Tsh 80,000 sijui kwa eneo ulilopo maana najua hawana bei uniform kila eneo na bei yake mkuu, ungesema upo wapi in get yeah is is his zaidi katika kukupa msaada

Barafu la moto
 
Back
Top Bottom