asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Hakijajaa kabisa ila kuna dalili ya kujaa, nikiweka chumvi mfuko mmoja inaweza kusaidia?Nasikia ukiona dalili ukawahi kuweka chumvi mfuko mmoja huwa inakausha au kushusha sijui linaukweli nalo!!!
Barafu la moto
Mimi niko mbagala hiyo gari inatokea wapi je unaweza kunipa mawasiliano ya wahusikaMafinga mpaka madibira ni Tsh 80,000 sijui kwa eneo ulilopo maana najua hawana bei uniform kila eneo na bei yake mkuu, ungesema upo wapi in get yeah is is his zaidi katika kukupa msaada
Barafu la moto
Naomba mawasiliano ya wahusika kama unayo mkuuChoose kimejaaa nenda kwa wenye magari Zungumza nao Bei zinatofautiana sehemu na sehemu na ukubwa wa gari ila wewe weka 100,000/= kwa trip moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unahitaji kupakuliwa.?Wapendwa habari ya asubuhi.
Naomba kufahamu kwa mwenye kufahamu gharama za unyonyaji wa maji taka katika choo kilichojaa. Au kwa anayewafahamu wanaofanya shughuli ya aina hii.
Natanguliza shukrani zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niko mbagala hiyo gari inatokea wapi je unaweza kunipa mawasiliano ya wahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Njombe? DuhUende kwenye ofisi za Darwasco wanaweza kukupa contact za wahusika au tembelea web yao na uwapigie sim wanaweza kukusaidia. Hili gari lipo njombe na sina uhakika kama litaweza kuja huko.
Barafu la moto
Hahahaa JF haijawahi kuwa sehemu salama ya utani.Kwahiyo unahitaji kupakuliwa.?