Choo kigumu (kama jiwe)

Choo kigumu (kama jiwe)

Umeezea kisela sana...ila unatengeneza tatizo mwenyewe.

Jitahidi kula bamia...hata kwenye hizo dagaa unazopenda, uwe unapikia huko na bamia.

Loweka karafuu kwenye chupa ya maji na uwe unakunywa daily. Inasaidia pia
Hainq noma sema hizo karafuu zinauzwa wapi?
 
Kwenye ushauri uliopatiwa kuhusu aina za milo uliyoambiwa, kunywa maji mengi na mengineyo
NYONGEZA: Kulingana na kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu ongezea kufanya MAZOEZI kila siku at least 30 minutes
 
Mtindo wa maisha unaoishi ndio chanzo Cha tatizo, kuondoa tatizo Kwa haraka zaidi kanunue kwanza magnesium vidonge, tafuna vinne Kwa mkupuo, then Kila baada ya massa 2 unatafuna viwili, unaweza ukaharisha mpaka ujisikie Raha, baada ya hapo badili mfumo wa kuishi, acha kula ma ANDAZ usijibane ukihisi haja, tumia na metronidazole pia.
 
Back
Top Bottom