Choo kigumu (kama jiwe)

Choo kigumu (kama jiwe)

Wakuu nashukuruni sana angalau leo nimepata gogo japo sio jingi ila sio gumu shida ni kuwa zile adhari za jana mpaka leo nazipata maana damu imetoka kutokana na kidonda cha jana ila nashukuru nakunywa maji sana kila niwezapo nimenunua chupa la uhai 1.6 nimepanga nilimalize pia kwenye mlo nitazingatia sana kubalance ngoja trh 30 ifike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri vilee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jamanii ndo uanze kuongea hivyoo? Mmmmh
Unakuja kulialika mi nitakwambia jikande na andazi la moto
 
Back
Top Bottom