Choo kikiwa hivi kinaashiria nini kwa binadamu?

@#$##$ &*&/^^ !!!":*$#@&### wewe
 
Choo cha mwanadamu kinaeleza au kina uhusiano wa moja kwa moja na utendaji kazi wa mwili wa mwanadamu.....ndio maana wataalamu wanagundua maradhi mengi kupitia choo chako.....na hata mkojo wako......

Unapogundua kuwa kuna hali isiyo ya kawaida kwenye choo chako ni ishara kuwa mwili wako unatenda kazi isivyo kawaida....kwa hiyo ni jukumu lako kwenda kuwaona wataalamu wa afya.......

Ni vyema kuchunguza choo chako kila baada ya siku tatu kwani choo kinaweza kukuonyesha dalili za mwanzo kabisa za magonjwa mbali mbali katika miili yetu.......

NB;
Hata rangi haja ndogo pia zina viashiria vya maradhi......



Tunza afya yako kabla ya maradhi.....

Utumie ujana wako kwa manufaa kabla ya uzee.....

Utumie muda wako vyema kabla haujapotea......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…