Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
 
Punguza kula vyakula mchanganyiko mchanganyiko. Utanishukuru baadae. Ila harufu normally inazuiwa na maji yanayobaki chooni. Unless kama hiyo p-shape haiko vizuri, ila harufu ya kwenye bomba haipaswi kuja ndani ila unaposhusha mabomu makali hilo halikwepeki
 
Cheki system ya kutolea hewa kutoka kwenye shimo la maji taka huenda imeziba so hewa inashindwa sehemu ya kutokea inarudi ndani.
 
Fundi wako ulimtoa wapi ni Hawa wa formal education au informal education
 
Punguza kula vyakula mchanganyiko mchanganyiko. Utanishukuru baadae. Ila harufu normally inazuiwa na maji yanayobaki chooni. Unless kama hiyo p-shape haiko vizuri, ila harufu ya kwenye bomba haipaswi kuja ndani ila unaposhusha mabomu makali hilo halikwepeki
😅😅😅daa nimecheka sana
 
Asseh tuwen makini na hawa mafundi
Binafsi iliwahi nikuta hiyo jam ilinibidi nibomoe waset upya
 
1.Hapao itakuwa hakuna trap chini ya bidet.
2.Hakuna bomba la kutolea hewa chafu.
3.Bomba la kutolea hewa chafu limewekwa vibaya
 
Back
Top Bottom