Choo ni kipimo cha ustaarabu katika jamii

Choo ni kipimo cha ustaarabu katika jamii

Choo ndo kipimp cha Customer Care ya eneo, ndo maana unashauriwa hata kama ni hotelin kabla ya kuagiza msosi nenda kwanza Msalani utakavyo ikuta hio ndo kiwanho chao cha customer Care
 
Uko sahihi, chooni ni sehemu nyeti na muhimu sana,inahitaji usafi na ustaarabu wa hali ya juu kwenye matumizi! Kuna watu hasa sisi wanaume akijisaidia haja ndogo kumwaga maji pia ni tatizo.! Usafi ni tabia!
 
Back
Top Bottom