Choo

Choo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Jamaa mmoja*
*alimuuliza*
*Mpenzi wake:*

*Kati ya Mimi*
*na Choo*

*Nani unae*
*mpenda zaidi.?*

*Demu akamjibu:*
*Nakupenda wewe*,
Mpenzi wangu

Jamaa akasema
Pumbavu nini
we muongo

mbona ukienda
Chooni chupi
unavua haraka

ukija kwangu
mpaka
2sumbuane?

dem kmya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita tu*
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hahaha ila tuwaonee huruma wanawake.

Ushawazia kumiliki kishimo ambacho kila mtu anataka kuja kukichimba ikiwezekana usiku kucha?

Bado? Hebu wazia sasa. Just think, ukitembea, ukikaa, ukiwa kwenye gari nusu na robo ya wanaume ikikuangalia inawaza itakipataje hicho kishimo.

Robo iliyobaki is for us broke niccas ambao tunakua tunatembea ila hatuoni mbele so she is safe from us.

Muache a-take time, ajifarague, aringe ringe kwa sababu kumiliki shimo linalotamaniwa na watu wote ni mzigo tayari.
 
Back
Top Bottom