Chose your best team member in JF

Chose your best team member in JF

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi.

Ambapo wakiwepo mna tengeneza vurugu au furahi day, kwa upande wangu nina team nyingi, ila hi ni imara zaidi kwani tumekuwa zaidi ya ndugu au ma comrade wa jeshini.

I attack you with my team- mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, miss Dahan, dogo wa Mwaka Jana Mwachiluwi, burna boy was bongo mshamba_hachekwi, two of my favorites Aaliyyah, Lovelovie, sister mawigi Antonnia, mpiga chaboo Poor Brain, Babu Mwehu, Ms eyes,

I mean no malice to nobody
sera zetu.
Panga mkononi
Roho begani

FB_IMG_16874345667711815.jpg
 
Back
Top Bottom