Chose your best team member in JF

Chose your best team member in JF

Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi.

Ambapo wakiwepo mna tengeneza vurugu au furahi day, kwa upande wangu nina team nyingi, ila hi ni imara zaidi kwani tumekuwa zaidi ya ndugu au ma comrade wa jeshini.

I attack you with my team- mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, miss Dahan, dogo wa Mwaka Jana Mwachiluwi, burna boy was bongo mshamba_hachekwi, two of my favorites Aaliyyah, Lovelovie, sister mawigi Antonnia, mpiga chaboo Poor Brain, Babu Mwehu, Ms eyes,

I mean no malice to nobody
sera zetu.
Panga mkononi
Roho begani

View attachment 2668328
Hizo sera😀
 
dronedrake CEO wa punyeto
To yeye head of department ya singo namaz
Extrovert mzee wa Nissan juke
Gily mzee wa katuni Moja ivi Ina pua ndefu
Chakorii aise nampenda huyu mwana mama
 
😅😅😅... Nipo hapaa .. nasubiri ratiba ya matukio ya leo boss mkuu
 
dronedrake CEO wa punyeto
To yeye head of department ya singo namaz
Extrovert mzee wa Nissan juke
Gily mzee wa katuni Moja ivi Ina pua ndefu
Chakorii aise nampenda huyu mwana mama
au basi
Screenshot_20230531_003032_Google.jpg
 
Back
Top Bottom