Chris Brown atoka jela

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Mwimbaji nyota wa Marekani Chris Brown ameachiliwa kutoka gereza moja la Los Angeles.
Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi.
Brown amekuwa gerezani tangu Machi 14, baada ya kuvunja sheria ya mahakama kuhusiana na kesi ya kumpiga mpenzi wake wa zamani, Rihanna mwaka 2009.

Duh good news amepata fundisho imetosha dzain. TEAM Breezy
 
Last edited by a moderator:
Lets hope he learnt his lesson and he ll stay outta trouble
 
I Like Breezy But Those Tattoes maaan.....Aint Cool...
 
Mwimbaji nyota wa Marekani Chris Brown ameachiliwa kutoka gereza moja la Los Angeles.
Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi.
Brown amekuwa gerezani tangu Machi 14, baada ya kuvunja sheria ya mahakama kuhusiana na kesi ya kumpiga mpenzi wake wa zamani, Rihanna mwaka 2009.mia
 
Hapo ana nywele nyeusi kapendeza kwelii,eee huko wanajua sheria aisee huku kwetu ukiwa na pesa tu hadi raisi atakunyenyekeaa
 
Hapo ana nywele nyeusi kapendeza kwelii,eee huko wanajua sheria aisee huku kwetu ukiwa na pesa tu hadi raisi atakunyenyekeaa

kibongo bongo pesa za breezy ni mpunga mref sana ila kwa america bado ni mtoto mdogo kupita maelezo linapokuja swala la pesa
 
sijaelewa kwani mpaka afungwe muda haukpita?na je si kwamba riyana ndo alikuwa anamfuatilia kiasi cha kuwa wote?
mwenye facts please!
 
Huyu jamaa aliachiwa toka gerezani kwa sababu anakimbilia kujiua
 
Hana umuhimu hapa JF. Issue yake inawahusu wamarekani.

huna umuhimu hapa JF unafikiri kwa kutumia tumbo. hili jukwaa ni la celebrities haijalishi kutoka nchi gani! so breezy anahusika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…