Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
Huyu jamaa aliachiwa toka gerezani kwa sababu anakimbilia kujiua
Hapana bwana, unataka kutudanganya. Blogs na mitandao yote ya America imeandika kwa nini ametolewa now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa aliachiwa toka gerezani kwa sababu anakimbilia kujiua
Kwani si ulisoma heading/title/kichwa cha habari, kilichokuleta humu ni nini?
huna umuhimu hapa JF unafikiri kwa kutumia tumbo. hili jukwaa ni la celebrities haijalishi kutoka nchi gani! so breezy anahusika sana.
Nilitaka kumwambia mleta mada kuwa huyu mvuta crack hana umuhimu hapa Tanzania, habari zake zinawahusu wamarekani wenzake. Yaani ni kama wewe tu, hauna umuhimu wowote Marekani na hakuna anayekujali kule zaidi ya marafiki na nduguzo hapa Tanzania. Sasa jiulize mtu tu achukue habari zako huko Marekani abandike kwenye mtandao juu ya maisha yako, nani anakujali?
kibongo bongo pesa za breezy ni mpunga mref sana ila kwa america bado ni mtoto mdogo kupita maelezo linapokuja swala la pesa
Nilitaka kumwambia mleta mada kuwa huyu mvuta crack hana umuhimu hapa Tanzania, habari zake zinawahusu wamarekani wenzake. Yaani ni kama wewe tu, hauna umuhimu wowote Marekani na hakuna anayekujali kule zaidi ya marafiki na nduguzo hapa Tanzania. Sasa jiulize mtu tu achukue habari zako huko Marekani abandike kwenye mtandao juu ya maisha yako, nani anakujali?
Hivi kwanini anafanya mziki mkubwa lakini pesa yake ni ndogo ukimcompare na wenzake?Yaani hata Drake kampita
ndo hapo yani namfananisha na manny pacquiao na kina wladimir kiukwel wanajua sana kuzichapa ndindo kuzidi hata mayweather ila ndo ka vile tena mayweather mjanja kawatupa mbali ana pesa chaf ndo tuseme kama hao kina bierber
We Jamaa_Mbishi , lazima ifike pahala tukubali kwamba Tanzania sio sawa na Marekani.Yaani kitu kikifanyika Marekani ndo tunaamini kwamba ndo kimefanyika kidunia,so Chris Brown ni msanii wa Dunia.Msanii akitaka atambulike kidunia lazima apitie USA.Ndo maana tunaanza kupata hope ya Diamond wetu kuvuka mipaka baada ya kupata shavu la kuitwa kwenye tuzo Marekani
Kuna mtu aliyekuambia TZ ni sawa na Marekani? JF ni kwa ajili ya Jamii ya kwetu si wamarekani.
Chris Brown ni celebrity but mimi sio, kwa hiyo habari za Chris Brown zikiandikwa humu ni njia mojawapo ya kuwafikia fans wake(mimi nikiwa mmoja wao). Kwani habari yake iwe mbaya au nzuri kwa fans wake still ni habari, get that.
Ingekuwa JF imewekwa kwa ajili yetu tu isingekuwepo jukwaa la INTERNATIONAL FORUM, jipange upya Jamaa_Mbishi
I just forwarded your message to him and he says he doesn't care about what you think. What matters to him is his sorry life not his fans. Got that?
Usibishane na huyu jamaa anaitwa Jamaa_Mbishi. Ni mjinga sana na anajifanya mjuaji. Hata mimi nimeanzisha thread huku kwenye celebrity anajifanya kudandia. Ananiambia eti nirudi shule as if anajua elimu yangu ni ya kiwango gani. Topic anazopenda ku dicsus ni za mambo ya mashoga. Nahisi atakuwa shoga teh tehWe are not discussing what matters and what dont(stick to the topic next time), the issue hear is whatever he is doing good/bad his fans want to know. And that is what we call price of fame. Got that?
Usije kushangaa kesho anajitangaza shoga..hao mi nshaacha kuwashabikia. Matendo yao yanaashiria mengi