Chris Brown atoka jela

Chris Brown atoka jela

Kwani si ulisoma heading/title/kichwa cha habari, kilichokuleta humu ni nini?

Nilitaka kumwambia mleta mada kuwa huyu mvuta crack hana umuhimu hapa Tanzania, habari zake zinawahusu wamarekani wenzake. Yaani ni kama wewe tu, hauna umuhimu wowote Marekani na hakuna anayekujali kule zaidi ya marafiki na nduguzo hapa Tanzania. Sasa jiulize mtu tu achukue habari zako huko Marekani abandike kwenye mtandao juu ya maisha yako, nani anakujali?
 
huna umuhimu hapa JF unafikiri kwa kutumia tumbo. hili jukwaa ni la celebrities haijalishi kutoka nchi gani! so breezy anahusika sana.

Narudia tena.....hana umuhimu hapa Tanzania, habari zake zinawahusu wamarekani wenzake sio sisi.
 
Nilitaka kumwambia mleta mada kuwa huyu mvuta crack hana umuhimu hapa Tanzania, habari zake zinawahusu wamarekani wenzake. Yaani ni kama wewe tu, hauna umuhimu wowote Marekani na hakuna anayekujali kule zaidi ya marafiki na nduguzo hapa Tanzania. Sasa jiulize mtu tu achukue habari zako huko Marekani abandike kwenye mtandao juu ya maisha yako, nani anakujali?

Chris Brown ni celebrity but mimi sio, kwa hiyo habari za Chris Brown zikiandikwa humu ni njia mojawapo ya kuwafikia fans wake(mimi nikiwa mmoja wao). Kwani habari yake iwe mbaya au nzuri kwa fans wake still ni habari, get that.
 
kibongo bongo pesa za breezy ni mpunga mref sana ila kwa america bado ni mtoto mdogo kupita maelezo linapokuja swala la pesa

Hivi kwanini anafanya mziki mkubwa lakini pesa yake ni ndogo ukimcompare na wenzake?Yaani hata Drake kampita
 
Nilitaka kumwambia mleta mada kuwa huyu mvuta crack hana umuhimu hapa Tanzania, habari zake zinawahusu wamarekani wenzake. Yaani ni kama wewe tu, hauna umuhimu wowote Marekani na hakuna anayekujali kule zaidi ya marafiki na nduguzo hapa Tanzania. Sasa jiulize mtu tu achukue habari zako huko Marekani abandike kwenye mtandao juu ya maisha yako, nani anakujali?

We Jamaa_Mbishi , lazima ifike pahala tukubali kwamba Tanzania sio sawa na Marekani.Yaani kitu kikifanyika Marekani ndo tunaamini kwamba ndo kimefanyika kidunia,so Chris Brown ni msanii wa Dunia.Msanii akitaka atambulike kidunia lazima apitie USA.Ndo maana tunaanza kupata hope ya Diamond wetu kuvuka mipaka baada ya kupata shavu la kuitwa kwenye tuzo Marekani
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini anafanya mziki mkubwa lakini pesa yake ni ndogo ukimcompare na wenzake?Yaani hata Drake kampita

ndo hapo yani namfananisha na manny pacquiao na kina wladimir kiukwel wanajua sana kuzichapa ndindo kuzidi hata mayweather ila ndo ka vile tena mayweather mjanja kawatupa mbali ana pesa chaf ndo tuseme kama hao kina bierber
 
Dah kweli,sijui C.Brown anakosea wapi.Maana kila mwaka anatoa hits za kutosha,ukiangalia show zake ziko tyt balaa.Cha ajabu watoto wa juzi wakina bieber wenye hits za kuhesabika wanamzidi mbali
 
We Jamaa_Mbishi , lazima ifike pahala tukubali kwamba Tanzania sio sawa na Marekani.Yaani kitu kikifanyika Marekani ndo tunaamini kwamba ndo kimefanyika kidunia,so Chris Brown ni msanii wa Dunia.Msanii akitaka atambulike kidunia lazima apitie USA.Ndo maana tunaanza kupata hope ya Diamond wetu kuvuka mipaka baada ya kupata shavu la kuitwa kwenye tuzo Marekani

Kuna mtu aliyekuambia TZ ni sawa na Marekani? JF ni kwa ajili ya Jamii ya kwetu si wamarekani.
 
Chris Brown ni celebrity but mimi sio, kwa hiyo habari za Chris Brown zikiandikwa humu ni njia mojawapo ya kuwafikia fans wake(mimi nikiwa mmoja wao). Kwani habari yake iwe mbaya au nzuri kwa fans wake still ni habari, get that.

I just forwarded your message to him and he says he doesn't care about what you think. What matters to him is his sorry life not his fans. Got that?
 
Jibu ni rahisi mkuu, Justin bieber ni mzungu kuna ubaguzi unahusika hapo na muziki wake unalenga teenager zaidi na wananunua kazi zake na mwisho Chris brown anajirudisha nyuma mwenyewe na vurugu zake zinazomfanya kuwa matatizoni na vyombo vya sheria.
 
I just forwarded your message to him and he says he doesn't care about what you think. What matters to him is his sorry life not his fans. Got that?

We are not discussing what matters and what dont(stick to the topic next time), the issue hear is whatever he is doing good/bad his fans want to know. And that is what we call price of fame. Got that?
 
Usibishane na huyu jamaa anaitwa Jamaa_Mbishi. Ni mjinga sana na anajifanya mjuaji. Hata mimi nimeanzisha thread huku kwenye celebrity anajifanya kudandia. Ananiambia eti nirudi shule as if anajua elimu yangu ni ya kiwango gani. Topic anazopenda ku dicsus ni za mambo ya mashoga. Nahisi atakuwa shoga teh teh
 
Back
Top Bottom