Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya

Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya

alifanya kolabo na r kelly hakupata fursa yeyote na haikumsaidia kusonga mbele.sembuse kufanya show na chris brown?kwangu kiba huwanaona sio msanii wa kuchangamkia fursa.utashangaa hata kumsalimia ataogopa......anatuangusha watz.......
 
Back
Top Bottom