Chris Brown kufanya show kwa Mkapa, Tanzania

Chris Brown kufanya show kwa Mkapa, Tanzania

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na ishirini kama kiingilio cha chini zaidi.
 
Au sio !?
 

Attachments

  • unnamed (42).jpg
    unnamed (42).jpg
    159.8 KB · Views: 41
Sio ana kuja kusherehesha ccm ikishinda au ikifungua kampeni zake?
No HIYO ni show TU, MPAKA management yake isha halifiwa tayari KILA kitu. SIKU ita tajwa mwanzoni WA mwezi UJAO


Kwishaaaaa
 
Bangi

Meneja wa Uwanja naona imeingilia kati na promo yako maandazi ili japo watu wajae baada ya kuona hakuna mwitikio 😂
Hakuna, HIYO show inajitegemea mkuu stay cool, bei ya chini LAKI na ishirini. Huu NDO umuhimu WA KUWA jamii forum unapata habari kabla ya wengine


Kwishaaaa
 
Chris Brown apige shoo kiingilio laki 1 unusu?
Labda unamzungumzia Chris Brown wa bongo AKA T.I.D mnyama.
 
Back
Top Bottom