Chris Brown kutua ndani ya Fiesta Dar

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Chris Brown, R&b crooner mwenyewe kiboko ya wabana pua ndani ya Dar fiesta
Noma sana, triple threat he is a super dancer great singer and great artist jamaa mchoraji hatari.
 
Ndo inazidi kudhihirisha kuwa fiesta ni disko vumbi la watoto, tena walio below 20. Kama wewe unaenda jichunguze vizuri.
 
Ndo inazidi kudhihirisha kuwa fiesta ni disko vumbi la watoto, tena walio below 20. Kama wewe unaenda jichunguze vizuri.

Vp kuhusu huyo msanii anayekuja? We huoni kam2 LEADERS hapatatosha???

Matamasha ya vile hata ulaya yapo ndg.
 
oyooo!! na mwakani wamlete lil wayne watatisher.
 
Chris anakuja kuimba over the playback, anaiba hela huyoo anakula kona. Wajinga ndio waliwao.
 
Vp kuhusu huyo msanii anayekuja? We huoni kam2 LEADERS hapatatosha???

Matamasha ya vile hata ulaya yapo ndg.


Alikuja rozay akaishia kuimba kwa dk 15. Value for money
 
Wacha aje kuleta syle mpya ya kuvaa na kufunga shati la snoop doggy kiunoni.

Cha kushangaza wabongo wataiga sana yani ni shegeeedddddaaaaaaa!!
 
nope, anakuja yemi alade by the way kuna kitu kinaendelea incase hamja notice, recently wanamuziki wa USA wamekuwa wakipost pone kuja Africa kwa vsiingizo kibao ila ukweli wanahofia EBOLA, john legend alikacha zimbabwe akaenda spain..busy signal wa jamaica alikacha Uganda..........na huyu jamaa sijui kama parole yake inamruhusu kutoka nje ya USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…