Chris Brown kutua ndani ya Fiesta Dar

Chris Brown kutua ndani ya Fiesta Dar

Napenda chriss anavyoimba pia anavyochezaa
 
Wacha aje kuleta syle mpya ya kuvaa na kufunga shati la snoop doggy kiunoni.
02.jpg

Cha kushangaza wabongo wataiga sana yani ni shegeeedddddaaaaaaa!!


Waige mara ngap,ndo habar ya mujini hiyo sasa...
 
Diamond changamkia fursa ya collabo aisee
 
Back
Top Bottom