Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
mmh uwongo!!
viingilio kama nauli za kwenda bukinafaso na kurudi!!?
hivi ni kweli Ksh 10000 = Tzs 210000
Gavana Joho ana penda burudani ile mbaya.
Huyo kweli Gavana wa Mombasa, nadhani wampeta mtu sahihi hao
Itabidi uamini ,ndo ujue kuwa pesa ya TZ haina thamanimmh uwongo!!
viingilio kama nauli za kwenda bukinafaso na kurudi!!?
hivi ni kweli Ksh 10000 = Tzs 210000
HahahaYani Mombasa ni anasa na maendeleo mwanzo mwisho tangu achaguliwe Governor. Jamaa anajaribu kuondoa ile limelight ya kuwa kila kitu kinafanyika Nairobi. Kina Ruto wasipochunga 2022 jamaa anasimamia uPresident. Kuna campaign tayari imeanzishwa [HASHTAG]#JohoForPresident2022[/HASHTAG].
Hahaha
Joho kwa kweli hawaelewani na kina Kenyata. Lakin si sasa yuko na Odinga!!?
Yes he z gudYah yeye ni Opposition yuko na Raila bega kwa bega. Infact Raila amemuAppoint kama Assistant leader wa chama cha ODM. This coming Elections 2017, anamuachia Raila then 2022 anasimama mwenyewe kama Opposition leader. The guy can do it. He is super rich and has enough influence.
Hata mm kuna kitu nimeona..sahv nadhani Mombasa watu wanakula burudani kuliko Nairobi kumbe kuna gavana ambaye yuko vizuri" Binafsi hata Tz nilifurah JembekaFestival walivyomleta NeYo Mwanza hii inaonesha sio kila kitu lazma kifanyikie Dar.Gavana Joho ana penda burudani ile mbaya.
Huyo kweli Gavana wa Mombasa, nadhani wampeta mtu sahihi hao
Yani Mombasa ni anasa na maendeleo mwanzo mwisho tangu achaguliwe Governor. Jamaa anajaribu kuondoa ile limelight ya kuwa kila kitu kinafanyika Nairobi. Kina Ruto wasipochunga 2022 jamaa anasimamia uPresident. Kuna campaign tayari imeanzishwa [HASHTAG]#JohoForPresident2022[/HASHTAG].
wazee wa fursa!Ha ha haa vp mawingu hawatamtaimu kwel breeezyy atokee kwenye fiesta Yao ya daslam maana wizkid tayar
uchumi wa kenya upo juu aiseeemmh uwongo!!
viingilio kama nauli za kwenda bukinafaso na kurudi!!?
hivi ni kweli Ksh 10000 = Tzs 210000
Kama ratba zitakarbiana huendaawazee wa fursa!
kwa breezy ntakopa nkamuone!Kama ratba zitakarbiana huendaa
kwa breezy ntakopa nkamuone!
C uende mombasaakwa breezy ntakopa nkamuone!
daaah![emoji23] tuma nauliHahaha njoo Mombasa nitakusimamia. Chances za kuja Fiesta sidhani. Coz ana Europe tour.