Chris Brown na Wizkid kuipaisha Mombasa October 8th 2016

Chris Brown na Wizkid kuipaisha Mombasa October 8th 2016

Hahahaha ati nauli za kwenda Burkinafaso.
But am serious. Bei za viingilio ndio hizo my dear.
Duuh mkuu hivi viingilio havina nia njema na sisi ambao pesa zetu ni za kutafuta huku unamulika na tochi.
Ngoja wenye mahela wataenda mimi nasubiri clouds afanye msaada wa kurusha kwenye tv
 
Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo kwa ajili ya kutumbuiza.

Lengo la tamasha hilo ni kuufurahia mji wa Mombasa na kuufanya mji wa starehe na anasa/kitovu cha watalii East Africa na pia kuvutia Investors mbali mbali.

Bei za Entrance:View attachment 408460View attachment 408460
Kiingilio cha kawaida: Kshs.10,000 = Tshs.210,000

V.I.P: Kshs.20,000 =Tshs. 420,000

V.V.I.P: Kshs. 50,000 = Tshs. 1,050,000



Kenya sasa imebakiza matamasha ya black americans tu, wakati sisi TZ tunakaribia 8% economic growth, Kenya wamebakia kushangilia kukata viuno tu!
 
Kenya sasa imebakiza matamasha ya black americans tu, wakati sisi TZ tunakaribia 8% economic growth, Kenya wamebakia kushangilia kukata viuno tu!
we nae.... ukii.a watu wanauwezo wa kuafford luxuries ujue pesa ipo... watu wana furaha
 
Kuna hati hati kuwa yule msanii wanaemwita wa surprise akahusika tena na surprise ingine
 
Back
Top Bottom