Ipake rangi ipendezee!Roho Mbaya hyoo
Umetumwa sio bure ndo maana nlikataa kukupeleka mombasaIpake rangi ipendezee!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]kwa breezy ntakopa nkamuone!
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Umetumwa sio bure ndo maana nlikataa kukupeleka mombasa
kopa twende![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kama nilikumis hiv!!
[emoji125]
Hiyo tutaenda wote ngoja na mi nikope
Kwa kuwa show anasimamia joho basi mchizi wa ghetto lazima awepoYou never know brother. Joho is full of surprises. He may bring 2pac from the dead.😀😀😀
Hii ni kweli mkuummh uwongo!!
viingilio kama nauli za kwenda bukinafaso na kurudi!!?
hivi ni kweli Ksh 10000 = Tzs 210000
Duuh mkuu hivi viingilio havina nia njema na sisi ambao pesa zetu ni za kutafuta huku unamulika na tochi.Hahahaha ati nauli za kwenda Burkinafaso.
But am serious. Bei za viingilio ndio hizo my dear.
Usjali ngoja nihangaikie hiyokopa twende!
wewee tu!
hangaika tu!twende kula bataUsjali ngoja nihangaikie hiyo
Baada ya kuwalipa Pesa ya Madafu Diamond Platnumz na Ali Kiba kwa ajili ya kampeni, yule Governor nguli wa County 001, County ya Mombasa Ali Hassan Joho anawaleta Chris Brown na Wizkid mjini humo kwa ajili ya kutumbuiza.
Lengo la tamasha hilo ni kuufurahia mji wa Mombasa na kuufanya mji wa starehe na anasa/kitovu cha watalii East Africa na pia kuvutia Investors mbali mbali.
Bei za Entrance:View attachment 408460View attachment 408460
Kiingilio cha kawaida: Kshs.10,000 = Tshs.210,000
V.I.P: Kshs.20,000 =Tshs. 420,000
V.V.I.P: Kshs. 50,000 = Tshs. 1,050,000
we nae.... ukii.a watu wanauwezo wa kuafford luxuries ujue pesa ipo... watu wana furahaKenya sasa imebakiza matamasha ya black americans tu, wakati sisi TZ tunakaribia 8% economic growth, Kenya wamebakia kushangilia kukata viuno tu!
na upatikanaji wake pia mrahisi au mgumu??Itabidi uamini ,ndo ujue kuwa pesa ya TZ haina thamani
ina mana lipstic za hudda zinauzwa Ksh 100 [emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi uamini ,ndo ujue kuwa pesa ya TZ haina thamani
Ni mgumu ndomana kenya pesa inaheshimika na wananchi wake na maisha ni ghari kidogona upatikanaji wake pia mrahisi au mgumu??
kupata hio 10000
Ni kama 2100 kwa pesa ya bongo kama gharama yake ni hiyo kweliina mana lipstic za hudda zinauzwa Ksh 100 [emoji23][emoji23][emoji23]